Mama Jusi Choir kutoka Moshi, Tanzania inajiandaa kusherehekea Jubilei ya Miaka 50 katika huduma ya Mungu
Korali ya Mama Jusi Choir, inayohudumu katika Kanisa la Anglikana la Holy Trinity lililoko mjini Moshi, Tanzania, inajiandaa kwa sherehe kubwa ya kusherehekea miaka 50 ya huduma kwa Mungu kupitia nyimbo na mahubiri. Sherehe hizi zitafanyika (…)