
Jotham Ndanyuzwe ambaye tayari ni mwandishi wa vitabu anaenda kupewa jukumu la Mchungaji
Jotham Ndanyuwe anakwenda kukabidhiwa jukumu la Uchungaji katika Kanisa linaloongozwa na Mchungaji Emmanuel Rwagasore. Jotham Ndanyuzwe ambaye tayari ni mwandishi wa vitabu na mwinjilisti mmisionari anakwenda kutawazwa kuwa Mchungaji katika (…)