Kwaya ya Bethel kuandaa Tamasha la Kihistoria lijulikanalo kama “Umugwaneza Album Launch”
Kwaya ya Bethel imeandaa tamasha kubwa la kihistoria walilolipa jina la “Umugwaneza Album Launch”, ambapo imekaribisha Kwaya ya Bethlehem kushiriki. Katika tamasha hili, Kwaya ya Bethel itazindua rasmi albamu yake ya tatu ya video iitwayo (…)