Goma: Naomie na Rose waliungana kutuchangamsha katika wimbo "Heri Alisi"
Kwa masauti mazuri tena matamu ambayo aliwatufanya kuimbe wimbo uleule wa watu wote kwa sauti tulivu wakisema "Heri Alisi". Ni stori ambayo imewafurahisha watu wengi kwani ni baraka kuona wadada hawa wawili wakichanganya vipaji vyao na kupata (…)